"Chaguo za uingizaji"
"Angalia majina ya unaowasiliana nao"
"Kikagua maendelezo hutumia majina yaliyoingizwa katika orodha yako ya anwani"
"Tetema unabofya kitufe"
"Toa sauti unapobofya kitufe"
"Ibuka kitufe kinapobonyezwa"
"Mapendeleo"
"Akaunti na Faragha"
"Mwonekano na Mipangilio"
"Kuandika kwa Ishara"
"Masahihisho ya maandishi"
"Mahiri"
"Mandhari"
"Washa muundo wa kibodi inayogawanyika"
"Usawazishaji wa Kibodi ya Google"
"Usawazishaji umewashwa"
"Sawazisha kamusi yako binafsi katika vifaa vyote"
"Sawazisha sasa"
"Futa data ya wingu"
"Hufuta data yako iliyosawazishwa kutoka Google"
"Data yako iliyosawazishwa itafutwa kutoka kwenye wingu. Je, una uhakika?"
"Futa"
"Ghairi"
"Kamusi yako ya kibinafsi itasawazishwa na nakala ihifadhiwe kwenye seva za Google. Maelezo ya takwimu ya marudio ya maneno yanaweza kukusanywa ili kusaidia kuboresha bidhaa zetu. Ukusanyaji na matumizi ya maelezo haya yatatii ""Sera ya Faragha ya Google""."
"Tafadhali ongeza akaunti ya Google kwenye kifaa hiki ili uwashe kipengele hiki"
"Usawazishaji haupatikani kwa vifaa vyenye akaunti za Google Apps for Business"
"Badilisha hadi kwa mbinu zingine za ingizo"
"Ufunguo wa kubadilisha lugha unashughulikia mbinu zingine za ingizo pia"
"Kitufe cha kubadilisha lugha"
"Onyesha wakati lugha ingizo mbalimbali zinapowezeshwa"
"Kuchelewesha kutupa kitufe ibukizi"
"Hakuna kuchelewa"
"Chaguo-msingi"
"Milisekunde %s"
"Chaguo-msingi la mfumo"
"Pendekeza majini ya Anwani"
"Tumia majina kutoka kwa Anwani kama mapendekezo na marekebisho"
"Mapendekezo yaliyobadilishwa kukufaa"
"Boresha %s"
"Kitone baada ya nafasi mbili"
"Kugonga mara mbili kwenye upau nafasi kunaingiza kitone kikifuatiwa na nafasi"
"Uwekaji wa herufi kubwa kiotomatiki"
"Fanya herufi kubwa neno la kwanza la kila sentensi"
"Kamusi ya kibinafsi"
"Nyongeza za kamusi"
"Kamusi kuu"
"Onyesha mapendekezo ya marekebisho"
"Onyesha maneno yaliyopendekezwa wakati unachapa"
"Zuia maneno yanayokera"
"Usipendekeze maneno yanayoweza kukera"
"Sahihisha kiotomatiki"
"Kiaamba na kiakifishi hurekebisha maneno ambayo yamechapishwa vibaya"
"Zima"
"Ya wastani"
"Linalokaribia"
"Linalokaribia sana"
"Mapendekezo ya neno lifuatalo"
"Tumia nelo la awali katika kufanya mapendekezo"
"Washa kuandika kwa ishara"
"Ingiza neno kwa kutelezesha juu ya herufi"
"Onyesha njia ya ishara"
"Kihakiki kinachobadilika cha kuelea"
"Onyesha neno lililopendekezwa unapoonyesha ishara"
"Ishara ya fungu la maneno"
"Weka nafasi wakati wa ishara kwa kuelea katika kitufe cha nafasi"
"Kibao cha kuweka data kwa kutamka"
"Hujawasha mbinu ya kuweka data kwa kutamka. Angalia mipangilio ya Lugha na mbinu ya kuingiza data."
"Sanidi mbinu za uingizaji"
"Lugha"
"Usaidizi na maoni"
"Lugha"
"Gusa tena ili uhifadhi"
"Gusa hapa ili uhifadhi"
"Kamusi inapatikana"
"Maandhari ya kibodi"
"Badili akaunti"
"Hakuna akaunti zilizochaguliwa"
"Kwa sasa unatumia %1$s"
"SAWA"
"Ghairi"
"Toka"
"Chagua akaunti ya kutumia"
"Kiingereza cha (Uingereza)"
"Kiingereza cha (Marekani)"
"Kihispania (Marekani)"
"Hinglish"
"Kiserbia (Kilatino)"
"Kiingereza (UK) (%s)"
"Kiingereza (US) (%s)"
"Kihispania (US) (%s)"
"Hinglish (%s)"
"Kiserbia (%s)"
"%s (cha Jadi)"
"%s (Thabiti)"
"Hakuna lugha (Alfabeti)"
"Alfabeti (QWERTY)"
"Alfabeti (QWERTZ)"
"Alfabeti (AZERTY)"
"Alfabeti (Dvorak)"
"Alfabeti (Colemak)"
"Alfabeti (PC)"
"Emoji"
"Mandhari ya kibodi"
"Mitindo maalum ya kuingiza data"
"Ongeza mtindo"
"Ongeza"
"Ondoa"
"Hifadhi"
"Lugha"
"Mpangilio"
"Mtindo wa ingizo lako maalum unahitaji kuwa umewezeshwa kabla uanze kulitumia. Unataka kuuwesha sasa?"
"Washa"
"Sio sasa"
"Mfumo sawa wa maingizo tayari upo: %s"
"Bonyeza kitufe cha muda wa kutetema"
"Bonyeza kitufe cha kiwango cha sauti"
"Ucheleweshaji unapobofya kitufe na kushikilia"
"Emoji za kibodi halisi"
"Kitufe halisi cha Alt huonyesha kibao cha emoji"
"Chaguo-msingi"
"Karibu kwenye %s"
"kwa Kuandika kwa ishara"
"Anza kutumia"
"Hatua inayofuata"
"Inasanidi %s"
"Washa %s"
"Tafadhali angalia \"%s\" katika mipangilio yako ya Lugha na mbinu ya kuingiza data. Hatua hii itairuhusu kutumika kwenye kifaa chako."
"%s tayari imewashwa katika mipangilio yako ya Lugha na kuingiza data, kwa hivyo hatua hii imekamilika. Nenda kwenye hatua inayofuata!"
"Washa katika Mipangilio"
"Badilisha kwenda %s"
"Kisha, chagua \"%s\" kama mbinu yako inayotumika ya kuingiza data ya maandishi."
"Badilisha mbinu za kuingiza data"
"Hongera, uko tayari!"
"Sasa unaweza kuchapa programu zako zote uzipendazo ukitumia %s."
"Sanidi lugha za ziada"
"Imemaliza"
"Onyesha aikoni ya programu"
"Onyesha aikoni ya programu kwenye kifungua programu"
"Programu ya kamusi"
"Programu ya kamusi"
"Huduma ya Kamusi"
"Maelezo ya kusasisha kamusi"
"Kamusi za nyongeza"
"Kamusi inapatikana"
"Mipangilio ya kamusi"
"Kamusi ya mtumiaji"
"Kamusi ya mtumiaji"
"Kamusi inapatikana"
"Inapakua sasa"
"Imesakinishwa"
"Imesakinishwa, haitumiki"
"Tatizo wakati wa kuunganisha kwenye huduma ya kamusi"
"Hakuna kamusi inayopatikana"
"Onyesha upya"
"Ilibadilishwa mwisho"
"Inatafuta sasisho..."
"Inapakia…"
"Kamusi kuu"
"Ghairi"
"Mipangilio"
"Sakinisha"
"Ghairi"
"Futa"
"Kuna kamusi ya lugha uliyochagua kwenye kifaa chako cha mkononi.<br/> Tunapendekeza<b>upakue<b> kamusi ya %1$s ili uweze kuandika kwa urahisi<b><b> Unaweza kutumia dakika moja au mbili kupakua kupitia mtandao wa 3G. Huenda ukatozwa ikiwa huna <b> mpango wa data isiyo na kikomo <b><b> Kama huna uhakika kuhusu mpango wa data ulio nao, tunapendekeza utafute muunganisho wa Wi-Fi ili uanze kupakua kiotomatiki<b><b> Kidokezo: Unaweza kupakua na kuondoa kamusi kwa kutembelea <b>Lugha na mbinu ya kuingiza data</b> katika menyu ya <b>Mipangilio</b> ya kifaa chako cha mkononi."
"Pakua sasa (MB%1$.1f)"
"Pakua kwenye Wi-Fi"
"Kamusi inapatikana ya %1$s"
"Bonyeza ili kukagua na kupakua"
"Inapakua: mapendekezo ya %1$s yatakuwa tayari hivi karibuni."
"Toleo la %1$s"
"Ongeza"
"Ongeza kwenye kamusi"
"Fungu la maneno"
"Hiari zingine"
"Hiari chache"
"Sawa"
"Neno:"
"Njia ya mkato:"
"Lugha:"
"Chapa neno"
"Njia ya mkato ya hiari"
"Badilisha neno"
"Hariri"
"Futa"
"Huna maneno yoyote katika kamusi ya mtumiaji. Gusa kitufe cha Ongeza (+) ili kuongeza neno."
"Ya lugha zote"
"Lugha zingine..."
"Futa"
" ABCDEFGHIJKLMNOPQRSTUVWXYZ"