"Ishara ya hakimiliki" "Ishara ya usajili" "Emoji ya alama mbili za mshangao" "Emoji ya alama ya mshangao na kuuliza" "Emoji ya alama ya nembo ya biashara" "Emoji ya chanzo cha habari" "Emoji ya mshale unaoonyesha kushoto-kulia" "Emoji ya mshale unaoonyesha juu-chini" "Emoji ya mshale unaoonyesha upande wa kaskazini magharibi" "Emoji ya mshale unaoonyesha upande wa kaskazini mashariki" "Emoji ya mshale unaoonyesha upande wa kusini mashariki" "Emoji ya mshale unaoonyesha upande wa kusini magharibi" "Emoji ya mshale unaoonyeshea kushoto ukiwa umejikunja kwa juu kama ndoano" "Emoji ya mshale unaoonyeshea kulia ukiwa umejikunja kwa juu kama ndoano" "Emoji ya saa ya kuonyeshea wakati" "Emoji ya chupa inayopima muda kwa mtiririko wa mchanga" "Emoji ya pembetatu zilizoongozana zinazoonyeshea upande wa kulia" "Emoji ya pembetatu zilizoongozana zinazoonyeshea upande wa kushoto" "Emoji ya pembetatu zilizoongozana zinazoonyeshea juu" "Emoji ya pembetatu zilizoongozana zinazoonyeshea chini" "Emoji ya saa ya kengele" "Emoji ya chupa inayopima muda kwa mtiririko wa mchanga na mchanga ukitiririka" "Emoji ya herufi m iliyozungushiwa duara" "Emoji ya mraba mdogo mweusi" "Emoji ya mraba mdogo mweupe" "Emoji ya pembetatu inayoonyeshea upande wa kulia" "Emoji ya pembetatu inayoonyeshea upande wa kushoto" "Emoji ya mraba mweupe" "Emoji ya mraba mweusi" "Emoji ya mraba mdogo mweupe" "Emoji ya mraba mdogo mweusi" "Emoji ya jua lenye rangi nyeusi na miale" "Emoji ya wingu" "Emoji ya simu ya nyeusi ya mezani" "Emoji ya kisanduku cha kupigia kura na alama ya tiki" "Emoji ya mwavuli na manyunyu ya mvua" "Emoji ya kinywaji moto" "Ishara ya mkono ukiwa umenyoosha kidole kuelekea juu" "Emoji ya uso unaoonyesha tabasamu la kawaida" "Emoji inayoonyesha alama inayowakilisha nyota ya Kondoo" "Emoji inayoonyesha alama inayowakilisha nyota ya Ng\'ombe" "Emoji inayoonyesha alama inayowakilisha nyota ya Mapacha" "Emoji inayoonyesha alama inayowakilisha nyota ya Kaa" "Emoji inayoonyesha alama inayowakilisha nyota ya Simba" "Emoji inayoonyesha alama inayowakilisha nyota ya Mashuke" "Emoji inayoonyesha alama inayowakilisha nyota ya Mizani" "Emoji inayoonyesha alama inayowakilisha nyota ya Ng\'e" "Emoji inayoonyesha alama inayowakilisha nyota ya Mshale" "Emoji inayoonyesha alama inayowakilisha nyota ya Mbuzi" "Emoji inayoonyesha alama inayowakilisha nyota ya Ndoo" "Emoji inayoonyesha alama inayowakilisha nyota ya Samaki" "Emoji ya karata nyeusi ya jembe au shupaza" "Emoji ya karata nyeusi ya mavi au ua" "Emoji ya karata nyeusi ya kopa au moyo" "Emoji ya karata nyeusi ya almasi au kisu" "Emoji inayoonyesha chemchemi hai ya maji ya moto" "Emoji ya alama nyeusi ya kimataifa ya urejelezaji" "Emoji ya alama ya kiti cha magurudumu aghalabu kinachotumiwa na watu wenye ulemavu wa miguu" "Emoji ya Nanga" "Emoji ya alama ya tahadhari" "Emoji ya alama inayonyesha umeme wenye msongo mkubwa" "Emoji ya kiwambo chenye duara ya rangi nyeupe kati kati" "Emoji ya kiwambo chenye duara ya rangi nyeusi kati kati" "Emoji ya mpira wa soka" "Emoji ya mpira wa besiboli" "Emoji ya mwanatheluji bila theluji" "Emoji ya jua nyuma ya mawingu" "Emoji ya alama inayowakilisha nyota ya Nyoka, mtu akiwa amembeba nyoka" "Emoji ya duara na msitari uliokingama umepita kati kati, ikiwa ni ishara ya katazo la kuingia katika eneo hilo" "Emoji ya kanisa" "Emoji ya mashine inayorusha maji kama chemchemi" "Emoji ya bendera katika shimo, aghalabu hutumiwa kama kiashiria kwenye michezo" "Emoji ya mashua" "Emoji ya Hema" "Emoji ya pampu ya mafuta" "Emoji ya mkasi mweusi" "Emoji ya alama nyeupe ya tiki iliyokolezwa" "Emoji ya ndege" "Emoji ya bahasha" "Emoji ya mkono uliokunja ngumi umeinuliwa" "Emoji ya mkono umeinuliwa" "Emoji ya mkono umeinuliwa kama ishara ya ushindi" "Emoji ya penseli" "Emoji ya nibu nyeusi" "Emoji ya alama ya tiki iliyokolezwa sana" "Emoji ya alama ya kuzidisha iliyokolezwa sana" "Emoji ya vimuli muli" "Emoji ya alama ya nyota yenye pembe nane" "Emoji ya nyota nyeusi yenye pembe nane" "Emoji ya tone la maji lililobadilika kua barafu wakati likianguka kutoka mawinguni" "Emoji ya alama inayowakilisha tone la maji lililobadilika kua barafu wakati likianguka kutoka mawinguni" "Emoji ya alama ya msalaba" "Emoji ya alama ya msalaba iliyogeuka na kua kama alama ya kuzidisha" "Emoji ya pambo la alama nyeusi ya kuuliza" "Emoji ya pambo la alama nyeupe ya kuuliza" "Emoji ya pambo la alama nyeupe ya mshangao" "Emoji ya alama ya mshangao iliyokolezwa sana" "Emoji ya ua la moyo wenye rangi nyeusi iliyokolezwa sana" "Emoji ya alama ya kujumlisha iliyokolezwa sana" "Emoji ya alama ya kutoa iliyokolezwa sana" "Emoji ya alama ya kugawanya iliyokolezwa sana" "Emoji ya mshale mweusi unaoonyeshea kulia" "Emoji ya kitanzi kilichojikunja" "Emoji ya kitanzi kilichokunjwa mara mbili" "Emoji ya mshale unaoonyeshea kulia kisha unajikunja kuelekea juu" "Emoji ya mshale unaoonyeshea kulia kisha unajikunja kuelekea chini" "Emoji ya mshale mweusi unaoonyeshea kushoto" "Emoji ya mshale mweusi unaoonyeshea juu" "Emoji ya mshale mweusi unaoonyeshea chini" "Emoji ya mraba mkubwa wa rangi nyeusi" "Emoji ya mraba mkubwa wa rangi nyeupe" "Emoji ya nyota nyeupe ya wastani" "Emoji ya duara kubwa lililokolezwa sana" "Emoji ya kistari chenye mawimbi" "Emoji ya alama ya kiuandishi ya kijapani inayotumika kuonyeshea sehemu ya kuanzia mwimbaji hasa katika wimbo ambao pengine haufahamu vizuri, pia hutumika kama herufi M kwenye alfabeti za kigiriki" "Emoji ya lugha ya alama ya asili inayomaanisha hongera" "Emoji ya lugha ya alama ya asili inayomaanisha siri" "Kigae cha Mahjong chenye ishara inayowakilisha joka jekundu" "Jokari mweusi wa kadi za kucheza" "Aina A ya damu" "Aina B ya damu" "Aina O ya damu" "Maegesho" "Aina AB ya damu" "Herufi CL ndani ya mraba" "Neno cool ndani ya mraba" "Neno free ndani ya mraba" "Herufi ID ndani ya mraba" "Neno new ndani ya mraba" "Herufi NG ndani ya mraba" "OK Ndani ya mraba" "SOS Ndani ya mraba" "Neno up likiwa na alama ya mshangao ndani ya mraba" "Herufi vs ndani ya mraba" "Alama mbili ndani ya mraba zinazowakilisha maneno katakana koko inapatikana hapa" "Alama moja ya ndani ya mraba inayowakilisha maneno huduma ya katakana sa" "Alama ya mfumo wa asili wa pamoja wa China, Japan na Korea ikiwa ndani ya mraba ikiwakilisha bila malipo" "Alama ya mfumo wa asili wa pamoja wa China, Japan na Korea ikiwa ndani ya mraba ikiwakilisha nafasi iliyohifadhiwa" "Alama ya mfumo wa asili wa pamoja wa China, Japan na Korea ikiwa ndani ya mraba ikiwakilisha marufuku au katazo" "Alama ya mfumo wa asili wa pamoja wa China, Japan na Korea ikiwa ndani ya mraba ikiwakilisha uwepo wa nafasi za wazi" "Alama ya mfumo wa asili wa pamoja wa China, Japan na Korea ikiwa ndani ya mraba ikiwakilisha kukubaliwa" "Alama ya mfumo wa asili wa pamoja wa China, Japan na Korea ikiwa ndani ya mraba ikiwakilisha umiliki kamili" "Alama ya mfumo wa asili wa pamoja wa China, Japan na Korea ikiwa ndani ya mraba ikiwakilisha malipo yamekwisha fanyika" "Alama ya mfumo wa asili wa pamoja wa China, Japan na Korea ikiwa ndani ya mraba ikiwakilisha jambo ambalo hufanyika kila mwezi" "Alama ya mfumo wa asili wa pamoja wa China, Japan na Korea ikiwa ndani ya mraba ikiwakilisha maombi" "Alama ya mfumo wa asili wa pamoja wa China, Japan na Korea ikiwa ndani ya mraba ikiwakilisha punguzo la bei" "Alama ya mfumo wa asili wa pamoja wa China, Japan na Korea ikiwa ndani ya mraba ikiwakilisha shughuli zinaendelea kama vile biashara" "Alama ya mfumo wa asili wa pamoja wa China, Japan na Korea ikiwa ndani ya mduara ikiwakilisha upekee" "Alama ya mfumo wa asili wa pamoja wa China, Japan na Korea ikiwa ndani ya mduara ikiwakilisha ombi la kupokea au kupokelewa" "Kimbunga" "Hali ya ukungu" "Mwavuli uliofungwa" "Usiku wenye nyota" "Maawio ya jua juu ya milima" "Mapambazuko" "Mji mkubwa wakati wa machweo ya jua" "Machweo ya jua juu ya majengo" "Upinde wa mvua" "Daraja wakati wa usiku" "Wimbi la maji" "Volkano" "Kilimia" "Dunia kama inavyoonekana kutoka angani ikionyesha bara Ulaya na Afrika" "Dunia kama inavyoonekana kutoka angani ikionyesha mabara yote ya Amerika" "Dunia kama inavyoonekana kutoka angani ikionyesha bara Asia na Australia" "Dunia ikionyesha mistari yake ya meridiani" "Alama ya mwezi mpya" "Alama ya mwezi mpevu" "Alama inayoonesha hatua ya tatu ya kuonekana kwa mwezi ambapo nusu ya mwezi upande wa kulia huonekana" "Alama inayoonesha hatua ya nne ya kuonekana kwa mwezi ambapo robo tatu ya mwezi upande wa kulia huonekana" "Alama inayoonesha hatua ya tano ya kuonekana kwa mwezi ambapo mwezi wote huonekana" "Alama inayoonesha hatua ya sita ya kuonekana kwa mwezi ambapo robo tatu ya mwezi upande wa kushoto huonekana" "Alama inayoonesha hatua ya saba ya kuonekana kwa mwezi ambapo nusu ya mwezi upande wa kushoto huonekana" "Hatua ya nane na ya mwisho ya kuonekana kwa mwezi ambapo sehemu ndogo ya upande wa kushoto huonekana." "Mwezi mpevu" "Mwezi mpya wenye uso wa mtu" "Nusu ya mwezi upande wa kulia wenye uso wa mtu" "Nusu ya mwezi upande wa kushoto wenye uso wa mtu" "Mwezi mzima wenye uso wa mtu" "Jua lenye uso wa mtu" "Nyota ing\'arayo" "Kimondo" "Karanga za Kichina" "Mche ukichipuka" "Mti wa kijani kibichi" "Mti wa jamii ya mwaloni" "Mnazi" "Kakati dungusi" "Ua la Tulip" "Ua dogo la rangi ya waridi au jeupe lililochanua ambalo kutokea kwake huchukuliwa kama ishara ya kumalizika kwa majira ya baridi" "Waridi" "Haibiskasi" "Ua la alizeti" "Ua lililochanua" "Ganda ambalo halijamaliziwa kutolewa kutoka kwenye mhindi" "Suke la mpunga" "Mmea wenye majani" "Jamii ya mimea adimu yenye majani ya pande nne" "Jani la mti jamii ya mwaloni utoao juisi yenye sukari" "Jani lililoanguka" "Jani likipeperushwa na upepo" "Uyoga" "Nyanya" "Bilinganya" "Zabibu" "Tikiti" "Tikitimaji" "Chenza" "Emoji ya Limao" "Ndizi" "Nanasi" "Tufaha jekundu" "Tufaha la kijani" "Pea" "Pichi" "Mizabibu mwitu" "Stroberi" "Mkate mwembamba unaoliwa kwa kuwekwa vyakula vingine kati kati yake kama nyama na mboga mboga" "Kipande cha pizza" "Nyama iliyoshikiliwa kwenye mfupa" "Paja la nyama kuku" "Biskuti ngumu kiasi iliyotengenezwa kwa unga wa mchele" "Tonge la ubwabwa" "Wali" "Mchuzi mzito na wali" "Bakuli linalofuka mvuke" "Spageti, aina fulani ya tambi" "Mkate" "Viazi vya Kifaransa vilivyokatwa kwa urefu na wembamba kisha kukaangwa na kukaushwa sana" "Kiazi cha kuokwa" "Dango, chakula cha asili cha kijapani ambapo hua na matonge ya wali yaliyoshikizwa kwenye kijiti" "Oden, chakula cha asili cha kijapani ambapo hua na vyakula aina mbali mbali vimeshikizwa kwenye kijiti" "Sushi, chakula cha asili cha kijapani ambapo hua na aina mbali mbali za vyakula vya asili hasa vya baharini vikichanganywa na wali na kuundwa kiustadi kufuata umbo maalum" "Uduvi wa kukaangwa" "Kipande cha samaki aliyetengenezwa kama keki kikiwa na mchoro unaowakilisha kimbunga katikati." "Aiskrimu laini" "Kipande cha barafu tamu iliyotengenezwa kilichokatwa katika umbo maalum" "Aiskrimu" "Donati" "Biskuti" "Mchi wa chokoleti" "Peremende" "Lollipop" "Faluda au Kastadi" "Emoji ya chungu cha asali" "Keki tamu yenye vitandamlo inayofanana na biskuti" "Chakula cha asili ya kijapan kinachobebwa kwenye kijisanduku maalum" "Chakula cha asili ya kijapani kinachowekwa kwenye chungu maalum, pia huitwa nabemono" "Upishi" "Uma na kisu" "Emoji ya kikombe cha chai kisicho na mshikio" "Chupa ya mvinyo wa kijapani wa mchele na kikombe" "Glasi ya mvinyo" "Glass maalum yenye umbo la V na kitako cha duara, aghalabu hutumika kunywea pombe kali" "Kinywaji cha mchanganyiko wa matunda ya kitropiki" "Kombe la kunywea bia" "Makombe mawili yaliyojaa bia yakigonganishwa kwa mtindo wa kusherehekea" "Chupa maalum ya mtoto" "Utepe" "Zawadi iliyofungwa kwenye karatasi maalum" "Keki ya siku ya kuzaliwa" "Emoji ya boga lililochongwa kiustadi kama sura ya mtu na mshumaa kuwekwa ndani kulifanya liwe na mwanga" "Mkrismasi, pia Mvinje" "Baba Krismasi" "Fataki" "Cheche za fataki" "Puto" "Kifaa cha kufyatua vikaratasi kwa mpigo, aghalabu kwa ajili ya kusherehekea" "Mpira maalum uliowekwa chengechenge za rangi mbalimbali, ambapo ukifunguliwa hutoka na kuleta mwako aghalabu katika sherehe ya harusi" "Tawi la mwanzi maalum uliofungwa vijikaratasi vyenye matilaba au matamanio ya watu" "Bendera zilizokingamanishwa" "Urembo wa asili ya kijapani wa misonobari na matawi ya mianzi ambao huwekwa mlangoni kuwakilisha heri na bahati, aghalabu hutumika kwenye sherehe za mwaka mpya" "Emoji ya midoli ya kijapani" "Pia Koinobori, vibango maalum vyenye picha za samaki ambavyo hupambwa au kushikwa kwenye siku ya watoto huko Japan, ambapo samaki wakubwa huwakilisha wazazi na wadogo kwa idadi ya watoto katika familia." "Kifaa kilichofanyizwa kutoa sauti upepo unapovuma" "Sherehe za kutazama mwezi" "Kibegi maalum cha kubebea vifaa vya shule vya mtoto" "Kofia ya Mahafali" "Kifani cha farasi wa kuendeshwa kwenye sehemu ya michezo na burudani" "Gurudumu kubwa la mduara ambalo hua na vijumba maalum ambapo watu hukaa na huzungushwa na mitambo ili kutoa burudani" "Mfano wa reli ndefu ambamo hua na vijumba maalum vilivyoungwa kama treni ambapo watu hukaa na kuendeshwa kwa kwasi na mitambo ili kutoa burudani" "Ndoano na samaki" "Kipaza sauti" "Kamera ya filamu" "Sinema" "Kifaa cha sauti" "Ubao wa msanii ambao hua na rangi mbali mbali za kuchorea" "Kofia ya pama" "Hema kubwa sana la mduara, aghalabu la kufanyia michezo ya jukwaani" "Tiketi" "Ubao maalum wa milia ambao hutumika kutoa ishara ya mahali na kuanza kitendo wakati wa kurekodi filamu" "Sanaa ya maonyesho" "Mchezo wa video" "Ubao maalum wenye miduara huku ukiwa na kishale kimejikita kati kati kuwakilisha lengo la moja kwa moja la mtupa vishale" "Mashine ya kuchezea michezo ya kubahatisha" "Biliadi" "Kete ya mchezo, aghalabu hua na umba la mchi mraba" "Mchezo wa kuviringisha matufe chini" "Kadi ya mchezo wa Hanafuda wa Kijapan inayowakilisha mwezi wa nane, kati ya kadi kumi na mbili, moja kwa kila mwezi" "Nota ya muziki" "Nota nyingi za muziki" "Saksafoni" "Emoji ya Gitaa" "Kibodi ya Muziki" "Tarumbeta" "Fidla" "Alama ya muziki ambayo hutambulisha kwa mistari ya nota kiwango cha juu cha sauti kinachotakiwa kwa muziki husika" "Nguo maalum kwa ajili ya mbio likiwa na utepe maalum wa utambulisho" "Emoji ya raketi na mpira wa tenisi" "Relitheluji na mabuti ya skii" "Mpira wa kikapu wa rangi ya kahawia nyepesi ukiwa chini" "Ruwaza yenye miraba ya rangi nyeusi na nyeupe ambayo huinuliwa mwazo au mwisho wa mashindano, aghalabu huambatana na mshindi" "Emoji ya mtu akiteleza juu ya barafu kwa kibao maalum" "Mkimbiaji" "Emoji ya mtu akiteleza katika mawimbi meupe kwa ubao" "Kombe, aghalabu taji kwa ajili ya mshindi kwa mashindano husika" "Mashindano ya mbio za farasi" "Mpira wa miguu wa kimarekani" "Mpira wa ragbi" "Mwogeleaji" "Jengo la nyumba" "Nyumba yenye bustani" "Jengo la ofisi" "Ofisi ya posta ya kijapani" "Ofisi ya posta ya Ulaya" "Emoji ya Hospitali" "Benki" "Machine ya kutolea pesa ya kiotomatiki" "Hoteli" "Emoji ya jengo la hoteli ikiwa na ua la upendo" "Maduka yanayofikiwa kwa urahisi" "Emoji ya Shule" "Duka kuu" "Kiwanda" "Alama ya asili ya kijapani yenye mfano wa taa iliyo ndani ya chombo kilichofungwa pande zote ikiwakilisha sehemu ya biashara au mahali panapouzwa chakula na mvinyo" "Kasri la kijapani" "Kasri la Ulaya" "Panya buku" "Panya" "Maksai" "Nyati wa majini" "Emoji ya Ng\'ombe" "Chui" "Sungura" "Paka" "Joka, aghalabu kwenye hadithi za asili za China,Japan na Korea" "Mamba" "Nyangumi" "Konokono" "Nyoka" "Farasi" "Kondoo Mume, aghalabu mwenye uwezo wa kuzalisha" "Mbuzi" "Kondoo" "Tumbili" "Jogoo" "Kuku" "Mbwa" "Nguruwe" "Nguruwe dume, aghalabu mwenye uwezo wa kuzalisha" "Tembo" "Pweza" "Jumba la konokono au viumbe wengine wa jamii hiyo ambalo limejikunja kama duara inayoanzia ndani kuelekea nje" "Mdudu" "Chungu chungu" "Nyuki wa asali" "Kombamwiko jike" "Samaki" "Samaki wa kitropiki" "Samaki mwenye miiba mwenye tabia ya kufutuka au kufura anapohisi hatari" "Kobe" "Kifaranga wa kuku akitotolewa kwenye yai" "Kifaranga wa kuku mdogo" "Kifaranga wa kuku anayeangalia mbele" "Ndege" "Pengwini, ndege mnene wa majini mwenye rangi nyeusi na nyeupe na miguu mifupi asiyeweza kuruka angani" "Koala, dubu mdogo wa Australia migodini" "Emoji ya jibwa lenye asili ya manyoya mengi sana yaliyojikunja" "Ngamia wa asili ya mashariki ya kati mwnye nundu moja" "Ngamia wa asili ya Asia ya kati mwenye nundu mbili" "Pomboo" "Uso wa panya" "Uso wa ng\'ombe" "Uso wa Duma" "Uso wa sungura" "Uso wa paka" "Uso wa joka" "Nyangumi anayevurumisha maji juu" "Uso wa farasi" "Uso wa tumbili" "Uso wa mbwa" "Uso wa nguruwe" "Uso wa chura" "Emoji ya uso wa panya buku" "Uso wa mbwa mwitu" "Uso wa dubu" "Uso wa panda, aina ya dubu wa rangi nyeusi na nyeupe apatikanaye Tibeti" "Pua ya nguruwe" "Alama za uwayo wa mnyama" "Macho" "Sikio" "Pua" "Mdomo" "Ulimi" "Ishara ya mkono unaoonekana kwa nyuma ukiwa umenyoosha kidole kuelekea juu" "Ishara ya mkono unaoonekana kwa nyuma ukiwa umenyoosha kidole kuelekea chini" "Ishara ya mkono unaoonekana kwa nyuma ukiwa umenyoosha kidole kuelekea kushoto" "Ishara ya mkono unaoonekana kwa nyuma ukiwa umenyoosha kidole kuelekea kulia" "Ishara ya mkono uliokunja ngumi" "Ishara ya mkono ukipunga" "Ishara ya mkono ikimaanisha Sawa" "Ishara ya kidole gumba kuinuliwa juu ikiwakilisha mambo bomba" "Ishara ya kidole gumba kuinamishwa chini ikiwakilisha mambo sio safi" "Ishara ya mikono inapiga makofi" "Ishara ya mikono ikiwa wazi" "Taji" "Kofia ya mwanamke" "Miwani" "Tai" "Fulana" "Jinzi au Dengrizi" "Gauni" "Vazi la kike kama gauni refu lenye mikono mirefu la asili ya kijapani ambalo huvaliwa na mkanda mpana kiunoni" "Bikini" "Mavazi ya kike" "Mfuko wa fedha" "Begi dogo la mkononi" "Pochi" "Kiatu cha kiume" "Kiatu cha riadha" "Emoji ya kiatu chenye kisigino kirefu" "Kiatu cha wazi cha kike" "Mabuti ya kike" "Alama za nyayo" "Taswira ya umbo au kivuli cha mtu aliyepenya au kuvunja mahali" "Taswira mbili za maumbo au vivuli vya watu waliopenya au kuvunja mahali" "Mvulana" "Msichana" "Mwanaume" "Mwanamke" "Familia" "Mwanaume na mwanamke wameshikana mikono" "Wanaume wawili wameshikana mikono" "Wanawake wawili wameshikana mikono" "Afisa wa polisi" "Mwanamke aliyevalia kama sungura aghalabu anayehudumia kwenye baa" "Mwanamwali au bi harusi aliyevaa shela" "Mtu mwenye nywele zenye rangi ya shaba au rangi ya kimanjano" "Mwanaume akiwa amevaa kofia maalum ya kichina" "Mwanaume aliyevaa kilemba" "Mwanaume mzee" "Mwanamke mzee" "Mtoto" "Mfanyakazi wa shughuli za ujenzi akiwa na kofia ngumu ya manjano" "Binti Mfalme" "Kinyago cha shetani mwekundu wa kijapani" "Kinyago cha zimwi jekundu lenye mfano wa ndege la kijapani" "Mzimu" "Emoji ya malaika mtoto mwenye mbawa na duara ya mwangaza wa samawati kichwani" "Emoji ya kiumbe mgeni kutoka sayari nyingine tofauti na dunia" "Emoji ya jinamizi la kigeni, aghalabu kwenye hadithi za wavamizi kutika nje ya dunia waliokua na teknolojia kubwa" "Emoji ya shetani mdogo mwenye pembe aliyekasirika" "Fuvu" "Emoji ya mtu wa dawati la maelezo" "Mlinzi" "Mcheza dansi" "Rangi ya midomo" "Rangi ya kucha" "Emoji ya mtu akichuliwa au kusingwa uso" "Emoji ya mtu akikata nywele" "Emoji ya ufito wa kinyozi" "Sindano aghalabu ya kutumika kuchomea dawa kwa mtu au myama" "Kidonge" "Alama ya busu" "Barua ya kimapenzi" "Pete" "Jiwe la kito" "Busu" "Maua mazuri yaliyofungwa pamoja" "Emoji ya wanandoa na kifani cha moyo" "Harusi" "Emoji ya moyo unaodunda" "Emoji ya moyo uliovunjika" "Emoji ya mioyo miwili" "Emoji ya moyo unaong\'aa" "Emoji ya moyo unaokua" "Emoji ya moyo na mshale" "Emoji ya moyo wa rangi ya samawati" "Emoji ya moyo wa rangi ya kijani" "Emoji ya moyo wa rangi ya manjano" "Emoji ya moyo wa rangi ya zambarau" "Emoji ya moyo uliofungwa utepe" "Emoji ya mioyo inayozunguka" "Emoji ya kitufe kilichopambwa ua la moyo" "Umbo la almasi ikiwa na kidoa kati kati" "Taa ya balbu ya umeme" "Emoji ya ishara ya hasira" "Emoji ya Bomu" "Emoji ya ishara ya hali tuli au kulala" "Emoji ya ishara ya mgongano" "Emoji ya alama ya jasho likitiririka" "Emoji ya tone aghalabu la maji" "Emoji ya ishara ya kitu kilichoondoka kwa ghafla sana kutimua vumbi nyumba" "Rundo la kinyesi" "Emoji ya mkono uliotunisha msuli" "Emoji ya ishara ya kizunguzungu" "Emoji ya kiputo kinachoashiria mtu alikua anasema" "Emoji ya kiputo kinachoashiria mtu alikua anawaza" "Emoji ya ua jeupe" "Emoji ya alama mia ya mia" "Emoji ya mfuko wa pesa" "Emoji ya mbadilishano wa sarafu" "Emoji ya alama ya dola iliyokolezwa" "Emoji ya kadi ya mkopo" "Emoji ya noti ya benki yenye alama ya fedha ya japan yaani yen" "Emoji ya noti ya benki yenye alama ya dola" "Emoji ya noti ya benki yenye alama ya fedha ya ulaya yaani yuro" "Emoji ya noti ya benki yenye alama ya fedha ya uingereza yaani pauni" "Emoji ya pesa iliyo na mbawa" "Emoji ya chati yenye alama ya yen na ikionesha kupanda aghalabu thamani" "Emoji ya kiti cha kukalia aghalabu kwenye ndege" "Emoji ya kompyuta ya mezani" "Emoji ya mkoba" "Emoji ya diski iliyohifadhiwa kwenye kasha maalum" "Emoji ya diski tepe" "Emoji ya diski yenye uwezo wa kuhifadhi picha" "Emoji ya diski ya dijitali ya video" "Emoji ya folda la faili" "Emoji ya folda la faili lililofunguliwa" "Emoji ya ukurasa uliojikunja" "Emoji ya ukurasa unaoangalia juu" "Kalenda" "Emoji ya kalenda maalum ya kufuatilia aghalabu hutumiwa na mashirika ambapo tukio la tarehe maalum inayofuatiliwa likikamilika, karatasi lenye tarehe husika huondolewa kwa kuchanwa" "Emoji ya kifaa maalum cha kuhifadhia kadi zenye anwani na mawasiliano ya watu" "Emoji ya chati inayoonesha grafu ikipanda" "Emoji ya chati inayoonesha grafu ikishuka" "Emoji ya chati inayotumia miche kuwakilisha data zake" "Ubao wa kunakili" "Emoji ya kipini maalum kinachotumika kushikizia karatasi ukutani" "Emoji ya kipini chenye kichwa cha mduara kinachotumika kushikizia karatasi kwenye kuta maalum zinazoweza kutumika na vipini hivyo" "Emoji ya kibanio cha karatasi" "Emoji ya rula nyoofu" "Emoji ya rula ya pembetatu" "Emoji ya vichupo vya alamisho" "Emoji ya leja" "Emoji ya daftari" "Emoji ya daftari yenye jalada lenye urembo" "Emoji ya kitabu kimefungwa" "Emoji ya kitabu kimefunguliwa" "Emoji ya kitabu cha rangi ya kijani" "Emoji ya kitabu cha rangi ya samawati" "Emoji ya kitabu cha rangi ya manjano" "Emoji ya vitabu" "Emoji ya beji ya jina" "Emoji ya hati ndefu ya kukunja kwa kuvingirisha hasa zile za zamani" "Emoji ya kikaratasi cha kuchukulia taarifa muhimu au kumbukumbu" "Emoji ya risiva ya simu" "Emoji ya kifaa maalum ambacho kinataarifa za vikumbusho mbali mbali kama kupiga simu" "Emoji ya mashine ya faksi" "Emoji ya antena ya setilaiti" "Emoji ya kipaza sauti cha kuzungumzia kwenye umma" "Emoji ya kifaa mfano wa tarumbeta kwa ajili ya kushangilia aghalabu huitwa vuvuzela kwenye baadhi ya maeneo" "Emoji ya kikasha toezi cha kuhifadhia aghalabu jumbe au barua zinazopaswa kuelekea mahali husika" "Emoji ya kikasha hifadhi ambacho hua na jumbe au barua zilizowasili" "Emoji ya kifurushi" "Emoji ya alama ya barua pepe" "Emoji ya bahasha ikishuka, ishara ya barua au ujumbe unaongia" "Emoji ya bahasha ikiwa na mshale kwa juu unaoangalia chini, ishara ya tuma kwenye barua pepe" "Emoji ya kisanduku cha barua ambacho bendera yake imeshushwa, ikimaanisha hakuna barua au vifurushi vya kuondoka" "Emoji ya kisanduku cha barua ambacho bendera yake imeinuliwa, ikimaanisha kuna barua au vifurushi vya kuondoka" "Emoji ya kisanduku cha barua kilichowazi ambacho bendera yake imeinuliwa, ikimaanisha kuna barua au vifurushi vya kuondoka" "Emoji ya kisanduku cha barua kilichowazi ambacho bendera yake imeshushwa, ikimaanisha hakuna barua au vifurushi vya kuondoka" "Emoji ya sanduku la posta" "Emoji ya king\'ora maalum au honi ipigwayo kuomba njia ili kuwahisha barua au vifurushi mahali husika" "Emoji ya Gazeti" "Emoji ya simu ya mkononi" "Emoji ya simu ya mkononi ikiwa na mshale upande wa kushoto unaooneshea kulia au uelekeo wa simu ilipo, ikiwakilisha tuma kwenye simu" "Emoji inayowakilisha hali ya mtetemo pekee, aghalabu kwenye maeneo kama maktaba, majumba ya ibada nk" "Emoji ya picha ya simu ikiwa katika hali ya kuzimwa" "Emoji ya simu ikiwa ndani ya duara na msitari umepita kati kati, ikimaanisha matumizi ya simu hayaruhusiwi kwenye eneo hilo" "Emoji ya michi kwenye sehemu ya kijisanduku cha mnara wa simu, kikiwakilisha nguvu ya mawimbi yaliyopo" "Emoji ya kamera" "Emoji ya kamera ya kuchukulia video" "Emoji ya televisheni" "Emoji ya redio" "Emoji ya kanda ya video" "Emoji ya mishale inayoelekea kulia ikiwa imepishana" "Emoji ya mishale iliyochorwa kufuata mwendo saa kama duara mmoja ukielekea kulia na mwingine kushoto, ikimaanisha kujirudia kwa tendo husika" "Emoji ya mishale iliyochorwa kufuata mwendo saa kama duara mmoja ukielekea kulia na mwingine kushoto, huku kukiwa na namba moja iliyondani ya duara juu yake ikimaanisha kujirudia mara moja tu kwa tendo husika" "Emoji ya mishale iliyochorwa kufuata mwendo saa kama duara mmoja ukielekea juu na mwingine chini, ikimaanisha rudia tena tendo husika aghalabu kwenye kupakia programu za vifaa" "Emoji ya mishale iliyochorwa kwa mwendo wa kinyume saa kama duara mmoja ukielekea juu na mwingine chini, ambayo huwakilisha kurudia kwa tendo husika" "Emoji ya mduara uliozungukwa na vistari vifupi ikimaanisha ung\'avu kiasi kidogo, aghalabu kwenye kompyuta au simu ya mkononi humaanisha matumizi ya mwangaza kidogo wa skrini" "Emoji ya mduara uliozungukwa na vistari virefu ikimaanisha ung\'avu sana, aghalabu kwenye kompyuta au simu ya mkononi humaanisha matumizi ya mwangaza mkubwa wa skrini" "Emoji ya spika ikiwa na alama ya mstari wa kukata, aghalabu kwenye matumizi ya simu au kompyuta humaanisha kuzima matumizi ya sauti" "Emoji ya spika" "Emoji ya spika ikiwa na alama ya wimbi moja la sauti, aghalabu kwenye matumizi ya simu au kompyuta humaanisha matumizi ya sauti ya chini" "Emoji ya spika ikiwa na alama ya mawimbi matatu ya sauti, aghalabu kwenye matumizi ya simu au kompyuta humaanisha matumizi ya sauti ya juu" "Emoji ya betri" "Emoji ya plagi ya umeme" "Emoji ya lenzi ikiwa imeegemea upande wa kushoto" "Emoji ya lenzi ikiwa imeegemea upande wa kulia" "Emoji ya kufuli na kalamu ya wino, aghalabu kwenye nyaraka za kielectroniki humaanisha ni inayolindwa na imefungwa" "Emoji ya kufuli na ufunguo" "Emoji ya ufunguo" "Emoji ya kufuli" "Emoji ya kufuli lililofunguliwa" "Emoji ya kengele" "Emoji ya kengele ikiwa na alama ya mstari wa kukata, aghalabu kwenye matumizi ya simu au kompyuta humaanisha kuzima matumizi ya sauti" "Emoji ya alamisho" "Emoji ya kiungo" "Kitufe cha mviringo" "Emoji yenye neno back na mshale unaoonesha kushoto ukiwa juu yake, aghalabu ikimaanisha rudi nyuma, nenda mwanzo wa wimbo, filamu, hadithi nk" "Emoji yenye neno end na mshale unaoonesha kushoto ukiwa juu yake, ikimaanisha nenda mwisho wa jambo, ingawa yaweza pia kumaanisha rudi nyuma, nenda mwanzo wa wimbo, filamu, hadithi nk kwenye matumizi ya hangout na android" "Emoji ya neno On na mshale unaoonesha pande zote ukiwa juu yake, ikimaanisha uamuzi wa kusonga mbele kwa furaha, au njia zote zitakufikisha kwenye lengo iwe ya kushoto au kulia" "Emoji yenye neno Soon na mshale unaoonyesha upande wa kulia ukiwa juu yake, ikimaanisha jambo, au tukio litatokea baada ya muda mfupi" "Emoji yenye neno Top na mshale unaoonyesha juu ukiwa juu yake, ikimaanisha nenda juu aghalabu kwenye kurasa za tovuti nk" "Emoji ya namba kumi na nane ikiwa ndani ya duara na msitari umepita kati kati, ikimaanisha matumizi ya kitu husika hayaruhusiwi kwa mtu wa chini ya umri wa miaka kumi na minane" "Emoji ya kitufe cha kibodi chenye namba kumi" "Emoji ya kitufe cha kibodi kwa ajili ya kugeuza herufi kuwa kubwa" "Emoji ya kitufe cha kibodi kwa ajili ya kugeuza herufi kuwa ndogo" "Emoji ya kitufe cha kibodi kwa ajili ya kupata uandishi wa namba" "Emoji ya kitufe cha kibodi kwa ajili ya kupata uandishi wa alama" "Emoji ya kitufe cha kibodi kwa ajili ya kupata uandishi wa herufi" "Emoji ya moto" "Emoji ya tochi ya umeme" "Emoji ya spana inayorekebishika kuweza kufunga nati za ukubwa mbali mbali" "Emoji ya nyundo" "Emoji ya nati na bolti" "Emoji ya kisu cha jikoni" "Emoji ya bastola" "Emoji ya hadubini" "Emoji ya darubini maalum aghalabu kwa kuangalizia anga za mbali" "Emoji ya tufe la kioo" "Emoji ya nyota yenye pembe sita ikiwa na alama ya kitone kati kati" "Emoji ya alama ya kijapani inayowakilisha mtu ambaye bado hana uzoefu kama vile dereva ambaye bado anajifunza" "Emoji ya nembo ya nanga" "Emoji ya kitufe cha umbo la mraba cha rangi nyeusi" "Emoji ya kitufe cha umbo la mraba cha rangi nyeupe" "Emoji ya duara kubwa la rangi nyekundu" "Emoji ya duara kubwa la rangi ya samawati" "Emoji ya almasi kubwa ya rangi ya manjano" "Emoji ya almasi kubwa ya rangi ya samawati" "Emoji ya almasi ndogo ya rangi ya manjano" "Emoji ya almasi ndogo ya rangi ya samawati" "Emoji ya pembetatu ya rangi nyekundu inayoangalia juu" "Emoji ya pembetatu ya rangi nyekundu inayoangalia chini" "Emoji ya pembetatu ndogo ya rangi nyekundu inayoangalia juu" "Emoji ya pembetatu ndogo ya rangi nyekundu inayoangalia chini" "Emoji ya uso wa saa inayoonesha saa saba kamili" "Emoji ya uso wa saa inayoonesha saa nane kamili" "Emoji ya uso wa saa inayoonesha saa tisa kamili" "Emoji ya uso wa saa inayoonesha saa tisa kamili" "Emoji ya uso wa saa inayoonesha saa kumi na moja kamili" "Emoji ya uso wa saa inayoonesha saa kumi na mbili kamili" "Emoji ya uso wa saa inayoonesha saa moja kamili" "Emoji ya uso wa saa inayoonesha saa mbili kamili" "Emoji ya uso wa saa inayoonesha saa tatu kamili" "Emoji ya uso wa saa inayoonesha saa nne kamili" "Emoji ya uso wa saa inayoonesha saa tano kamili" "Emoji ya uso wa saa inayoonesha saa sita kamili" "Emoji ya uso wa saa inayoonesha saa saba na nusu" "Emoji ya uso wa saa inayoonesha saa nane na nusu" "Emoji ya uso wa saa inayoonesha saa tisa na nusu" "Emoji ya uso wa saa inayoonesha saa kumi na nusu" "Emoji ya uso wa saa inayoonesha saa kumi na moja na nusu" "Emoji ya uso wa saa inayoonesha saa kumi na mbili na nusu" "Emoji ya uso wa saa inayoonesha saa moja na nusu" "Emoji ya uso wa saa inayoonesha saa mbili na nusu" "Emoji ya uso wa saa inayoonesha saa tatu na nusu" "Emoji ya uso wa saa inayoonesha saa nne na nusu" "Emoji ya uso wa saa inayoonesha saa tano na nusu" "Emoji ya uso wa saa inayoonesha saa sita na nusu" "Emoji ya mlima Fuji" "Emoji ya mnara wa Tokyo" "Emoji ya Sanamu ya uhuru" "Emoji ya ramani ya Japan kama inavyoonekana katika bahari ya Pasifiki" "Emoji ya Moyai, sanamu ya kuchonga iliyopo katika mji wa Tokyo huko Japani kwenye kituo cha Shibuya, mahali ambapo hufikiwa na watu wengi wanaoitembelea nchi hiyo" "Emoji ya uso unaoonyesha furaha kwa tabasamu pana" "Emoji ya uso unaoonyesha furaha na macho ya tabasamu" "Emoji ya uso wenye machozi ya furaha" "Emoji ya uso wa tabasamu kwa kinywa wazi" "Emoji ya uso wa tabasamu kwa kinywa wazi na macho yaliyosinzia kwa tabasamu" "Emoji ya uso wa tabasamu kwa kinywa wazi na kijasho chembamba" "Emoji ya uso wa tabasamu kwa kinywa wazi na macho yaliyofinywa kwa nguvu" "Emoji ya uso wa tabasamu na duara ya mwangaza inayozunguka kichwa ikiwakilisha malaika" "Emoji ya uso wa tabasamu wenye pembe kichwani" "Emoji ya uso unaokonyeza" "Emoji ya uso wa tabasamu na macho yaliyosinzia kwa tabasamu" "Emoji ya uso wa kutamani chakula kitamu, pia aliyemaliza kula chakula kitamu hivyo anajilamba midomo" "Emoji ya uso unaoonesha hali ya kufarijika au kuridhishwa na hali ya mambo" "Uso wa tabasamu na macho yaliyoumbwa kama ua la moyo, ishara ya mapenzi mazito juu ya mtu au kitu kinachotazamwa" "Emoji ya uso wa tabasamu ukiwa umevaa miwani ya jua" "Emoji ya uso wa kicheko cha dharau" "Emoji ya uso wa kawaida" "Emoji ya uso usioonyesha hisia yoyote" "Emoji ya uso unaoonyesha kutoridhishwa na hali ya mambo" "Emoji ya uso wenye kijasho chembamba" "Emoji ya uso unaoonyesha mtu aliyezama katika lindi la mawazo" "Emoji ya uso unaoonyesha mtu aliyechanganyikiwa pengine kutokana na mambo kutokueleweka au kutokua katika utaratibu" "Emoji ya uso unaoonyesha hasira, kuuma midomo na kukunja sura pengine kutokana na mambo kutokuelewaeka au kutokua katika utaratibu" "Emoji ya uso unaoonyesha busu" "Emoji ya uso unaotupia busu" "Emoji ya uso ukibusu na macho ya tabasamu kwa hisia" "Emoji ya uso ukibusu na macho yaliyosinzia kwa hisia" "Emoji ya uso uliotoa ulimi nje" "Emoji ya uso uliotoa ulimi nje na macho ya kukonyeza" "Emoji ya uso uliotoa ulimi nje na macho yaliyofumbwa kwa nguvu" "Emoji ya uso unaoonyesha hali ya kukatishwa tamaa" "Emoji ya uso wa wasiwasi" "Emoji ya uso wa hasira" "Emoji ya uso uliokunja sura kwa manung\'uniko" "Emoji ya uso unaolia machozi" "Emoji ya uso unaoonyesha hali ya kuvumilia" "Emoji ya uso unaoonyesha ushindi" "Emoji ya uso unaoonyesha kukatishwa tamaa lakini umeamua kuridhika na hali ya mambo" "Emoji ya uso unaoonyesha hali ya kutopendezwa na jambo" "Emoji ya uso unaoonyesha hali ya uchungu" "Emoji inayoonyesha uso wa woga" "Emoji inayoonyesha uso wa uchovu wa hali ya juu" "Emoji inaoonyesha uso wa kusinzia" "Emoji ya uso unaoonyesha uchovu" "Emoji ya uso unaoonyesha kukunja sura kwa maumivu au kuchekesha meno yote yakionekana" "Emoji inayoonyesha uso wa kulia kwa nguvu" "Emoji ya uso ukiwa kinywa wazi" "Emoji ya uso unaosubiri kimya, kwa utulivu na subira" "Emoji ya uso ukiwa kinywa wazi na kijasho chembamba" "Emoji ya uso unaopiga kelele za woga" "Emoji ya uso unaoonyesha hali ya kushangazwa sana" "Emoji ya uso uliotumbua macho" "Emoji inayoonyesha uso wa mtu aliye katika hali tuli fofofo" "Emoji inayoonyesha uso wenye kizunguzungu" "Emoji inayoonyesha uso usio na mdomo" "Emoji ya uso uliovaa barakoa ya kitabibu" "Emoji ya uso wa paka unaoonyesha furaha na macho ya tabasamu" "Emoji ya uso wa paka wenye machozi ya furaha" "Emoji ya uso wa paka wenye tabasamu pana na mdomo wazi" "Uso wa paka wenye tabasamu na macho yaliyoumbwa kama ua la moyo, ishara ya mapenzi mazito juu ya mtu au kitu kinachotazamwa" "Emoji ya uso wa paka unaoonyesha hali ya dharau au mzaha" "Emoji ya uso wa paka ukibusu na macho yaliyosinzia kwa hisia" "Emoji ya uso wa paka uliokunja sura kwa manung\'uniko" "Emoji ya uso wa paka alieangua kilio" "Emoji ya uso wa paka unaoonyesha uchovu wa hali ya juu" "Emoji ya uso pamoja na ishara ya kuonyesha kutokukubaliana na kinachoendelea au kukataza kisiendelee, aghalabu hua na mtu aliyepishanisha mikono ili kufanya alama ya x" "Emoji ya uso na ishara ya sawa, kukubaliana na kinachofanyika au kukubali" "Emoji ya mtu aliyeinama sana, karibu na kusujudu" "Emoji ya tumbili aliyeaficha uso wake, hujulikana kama asiyetaka kuona mabaya yatakayotendeka" "Emoji ya tumbili aliyeziba masikio yake, hujulikana kama asiyetaka kusikia mabaya yatakayosemwa" "Emoji ya tumbili aliyefumba kinywa kwa mikono yake, hujulikana kama asiyetaka kunena baya lolote" "Emoji ya mtu mwenye furaha akiwa amenyanyua mkono mmoja" "Emoji ya mtu anayeshangilia akiwa amenyanyua mikono yote" "Emoji ya mtu anayeonyesha hali ya kutopendezwa na jambo" "Emoji ya mtu aliyekunja sura kwa manung\'uniko" "Emoji ya mtu amekunja mikono" "Emoji ya Roketi" "Emoji ya Helikopta" "Emoji ya Garimoshi" "Emoji ya gari linaloendeshwa kwenye reli maalum" "Emoji ya Treni iendayo kasi" "Emoji ya Treni iendayo kasi ikiwa na kichwa kilichotengenezwa kwa mfano wa risasi" "Emoji ya Treni" "Emoji ya metro, neno litalotumika aghalabu kuelezea mfumo wa usafirishaji watu kwenye miji kwa kutumia treni hasa ziendazo kasi za ardhini" "Emoji ya treni ya usafirishaji watu na mizigo miepesi kwenye miji kwa mwendo kasi" "Emoji ya Kituo" "Emoji ya treni ambayo hufanya kazi ndogo ndogo za kusafirisha abairia kwenye umbali mfupi" "Emoji ya behewa la treni ambayo hufanya kazi ndogo ndogo za kusafirisha abairia kwenye umbali mfupi" "Emoji ya basi" "Emoji ya basi linaloonekana kuja" "Trolleybus" "Emoji ya basi linaloendeshwa kwa nguvu za umeme" "Emoji ya basi dogo" "Emoji ya gari la wagonjwa" "Emoji ya gari lenye injini maalum kwa ajili ya kusukuma maji kwa mgandamizo kubwa ili kuzima moto" "Emoji ya gari la polisi" "Emoji ya gari la polisi linaloonekana kuja" "Emoji ya teksi" "Emoji ya teksi inayoonekana kuja" "Emoji ya gari" "Emoji ya gari inayoonekana kuja" "Emoji ya gari kubwa uwezo mkubwa kidogo kuliko gari ya kawaida" "Emoji ya gari ya usambazi mizigo" "Emoji ya lori linalokokota tela au mtambaazi" "Emoji ya trekta" "Emoji ya reli moja, ambapo treni hupita kanakwamba imeivaa" "Emoji ya reli inayoelekea mlimani" "Emoji ya reli inayopita juu" "Emoji ya waya ambapo gari maalum kusafirisha watu au mizigo kwenye eneo lenye mlima mkali hupita kwenye waya huo kwa kuning\'inia" "Emoji ya muonekano wa mbali wa gari maalum la kusafirisha watu au mizigo kwenye eneo lenye mlima mkali na hupita kwenye waya" "Emoji ya meli" "Emoji ya mtumbwi" "Emoji ya boti inayoendeshwa kwa injini hivyo kua na kasi zaidi" "Emoji ya taa za trafiki zilizowekwa mlalo" "Emoji ya taa za kuongozea magari zilizowima" "Emoji inayoonyesha ishara ya kwamba ujenzi unaendelea" "Emoji ya taa ya gari ya polisi ambayo huzunguka ili kutoa ishara" "Emoji ya mti wa bendera ya pembetatu, aghalabu hutumika kama kiashiria" "Emoji ya mlango" "Emoji ya duara na msitari uliokingama umepita kati kati, ikiwa ni ishara ya katazo la kuingia katika eneo hilo" "Emoji ya sigara iliyowashwa inayotoa moshi" "Emoji ya duara lenye picha ya sigara ndani na msitari uliokatiza kati kati ya sigara, ikimaanisha uvutaji wa sigara hauruhusiwi kwenye eneo hilo" "Emoji ya ishara ya maelekezo ya mahali maalum pa kutupia taka" "Emoji ya ishara ya maelekezo ya kutotupa taka mahali hapo" "Emoji ya ishara ya maji ya bomba lakini yaliyo salama kwa matumizi hasa kunywa" "Emoji ya ishara ya maji ya bomba yasiyo salama kwa matumizi hasa kunywa" "Emoji ya baiskeli" "Emoji ya baiskeli ndani ya duara na msitari uliokingama umepita kati kati, ikiwa ni ishara ya katazo la baiskeli kuingia katika eneo hilo" "Emoji ya mwendesha baiskeli" "Emoji ya mwendesha baiskeli ya milimani" "Emoji ya mwenda kwa miguu" "Emoji ya mwenda kwa miguu ndani ya duara na msitari uliokingama umepita kati kati, ikiwa ni ishara ya katazo la waenda kwa miguu kuingia katika eneo hilo" "Emoji ya kivuko cha watoto" "Emoji ya ishara ya mwanaume, aghalabu kuashiria kua kitu au mahali husika ni maalum kwa ajili ya kutumiwa na wanaume" "Emoji ya ishara ya mwanamke, aghalabu kuashiria kua kitu au mahali husika ni maalum kwa ajili ya kutumiwa na wanawake" "Emoji inayoonesha picha ya mwanaume na mwanamke, aghalabu huwekwa kwenye maliwato ambazo zinaweza kutumika na watu wa jinsia zote" "Emoji ya mtoto" "Emoji ya msala, nyumba maalum ya kujihifadhi kwa haja" "Emoji ya neno WC, namna ya kiingereza kusema bafuni" "Emoji ya bomba la maji ya kuoga yanayotoka kwa rasha rasha, aghalabu huitwa bomba la mvua" "Emoji ya bafu" "Emoji ya hodhi la kuogea" "Emoji ya eneo linalodhibitiwa na pasipoti" "Emoji ya mamlaka ya forodha" "Emoji ya sehemu ya madai ya mizigo" "Emoji inayoonyesha mahali ambapo wanaweza kuchukua mizigo waliyoisahau"