"Chaguo za uingizaji" "Amri za Kumbukumbu za Utafiti" "Angalia majina ya unaowasiliana nao" "Kikagua tahajia hutumia majina yaliyoingizwa katika orodha yako ya anwani" "Tetema unabofya kitufe" "Toa sauti unapobofya kitufe" "Ibuka kitufe kinapobonyezwa" "Kawaida" "Marekebisho ya maandishi" "Kuandika kwa ishara" "Chaguo zingine" "Mipangilio ya kina" "Chaguo za wataalamu" "Badilisha hadi kwa mbinu zingine za ingizo" "Ufunguo wa kubadilisha lugha unashughulikia mbinu zingine za ingizo pia" "Kitufe cha kubadilisha lugha" "Onyesha wakati lugha ingizo mbalimbali zinapowezeshwa" "Onyesha kiashirio cha slaidi" "Onyesha ishara dhahiri unapotelezesha kutoka kwenye vitufe vya Shift au Symbol" "Kuchelewesha kutupa kitufe ibukizi" "Hakuna kuchelewa" "Chaguo-msingi" "Milisekunde %s" "Chaguo-msingi la mfumo" "Pendekeza majini ya Anwani" "Tumia majina kutoka kwa Anwani kwa mapendekezo na marekebisho" "Mapendekezo yaliyobadilishwa kukufaa" "Kitone baada ya nafasi mbili" "Kugonga mara mbili kwenye upau nafasi kunaingiza kitone kikifuatiwa na nafasi" "Uwekaji wa herufi kubwa kiotomatiki" "Fanya herufi kubwa neno la kwanza la kila sentensi" "Kamusi ya kibinafsi" "Nyongeza za kamusi" "Kamusi kuu" "Onyesha mapendekezo ya marekebisho" "Onyesha maneno yaliyopendekezwa wakati unachapa" "Onyesha kila wakati" "Onyesha katika hali wima" "Ficha kila wakati" "Zuia maneno yanayokera" "Usipendekeze maneno yanayoweza kukera" "Usahihishaji otomatiki" "Kiaamba na kiakifishi hurekebisha maneno ambayo yamechapishwa vibaya" "Zima" "Ya wastani" "Linalokaribia" "Linalokaribia sana" "Mapendekezo ya neno lifuatalo" "Tumia nelo la awali katika kufanya mapendekezo" "Washa kuandika kwa ishara" "Ingiza neno kwa kutelezesha juu ya herufi" "Onyesha njia ya ishara" "Kihakiki kinachobadilika cha kuelea" "Onyesha neno lililopendekezwa unapoonyesha ishara" "Ishara ya fungu la maneno" "Weka nafasi wakati wa ishara kwa kuelea katika kitufe cha nafasi" "Chomeka plagi ya kifaa cha kichwa cha kusikiza ili kusikiliza msimbo wa nenosiri inayozungumwa kwa sauti ya juu." "Maandishi ya sasa ni %s" "Hakuna maandishi yaliyoingizwa" "%1$s hurekebisha %2$s kuwa %3$s" "%1$s hufanya marekebisho otomatiki" "Msimbo wa kitufe %d" "Badilisha" "Shift imewashwa (gonga ili kulemaza)" "Caps lock imewashwa (gonga ili kulemaza)" "Futa" "Alama" "Herufi" "Nambari" "Mipangilio" "Kichupo" "Nafasi" "Kuweka data kwa kutamka" "Uso wenye tabasamu" "Rudi" "Tafuta" "Nukta" "Badili lugha" "Inayofuata" "Iliyotangulia" "Shift imewezeshwa" "Caps lock imewezeshwa" "Shift imelemazwa" "Hali ya alama" "Hali ya barua" "Hali ya simu" "Hali ya alama za simu" "Kibodi imefichwa" "Inaonyesha kibodi ya %s" "tarehe" "tarehe na wakati" "barua pepe" "Utumaji ujumbe" "nambari" "simu" "maandishi" "wakati" "URL" "Kibao cha kuweka data kwa kutamka" "Hakuna mbinu ya kuweka data kwa kutamka iliyowashwa. Angalia Lugha na mipangilio ya kuingiza data." "Sanidi mbinu za uingizaji" "Lugha za uingizaji" "Tuma maoni" "Lugha zinazoruhusiwa" "Gusa tena ili kuhifadhi" "Kamusi inapatikana" "Wezesha maoni ya watumiaji" "Saidia kuimarisha mbinu hii ya uingizaji wa kihariri, kwa kutuma takwimu za matumizi na ripoti za kuvurugika kiotomatiki" "Maandhari ya kibodi" "Kiingereza cha (Uingereza)" "Kiingereza cha (Marekani)" "Kihispania (Marekani)" "Kiingereza (UK) (%s)" "Kiingereza (US) (%s)" "Kihispania (US) (%s)" "%s (cha Jadi)" "Hakuna lugha (Alfabeti)" "Alfabeti (QWERTY)" "Alfabeti (QWERTZ)" "Alfabeti (AZERTY)" "Alfabeti (Dvorak)" "Alfabeti (Colemak)" "Alfabeti (PC)" "Emoji" "Mpangilio wa rangi" "Nyeupe" "Samawati" "Mitindo maalum ya ingizo" "Ongeza mtindo" "Ongeza" "Ondoa" "Hifadhi" "Lugha" "Mpangilio" "Mtindo wa ingizo lako maalum unahitaji kuwa umewezeshwa kabla uanze kulitumia. Unataka kuuwesha sasa?" "Washa" "Sio sasa" "Mfumo sawa wa maingizo tayari upo: %s" "Modi ya uchunguzi wa utumizi" "Ubofyaji kitufe kunakochelewa" "Bonyeza kitufe cha muda wa kutetema" "Bonyeza kitufe cha kiwango cha sauti" "Soma faili ya kamusi ya nje" "Hakuna faili za kamusi katika folda ya Vilivyopakuliwa" "Chagua faili ya kamusi ya kusakinisha" "Ungependa kusakinisha faili hii ya %s?" "Kulikuwa na hitilafu" "Onyesha orodha ya anwani" "Tupa kamusi ya kibinafsi" "Tupa kamusi ya historia ya mtumiaji" "Tupa kamusi ya kuwekewa mapendeleo" "Chaguo-msingi" "Karibu kwenye %s" "kwa Kuandika kwa ishara" "Anza kutumia" "Hatua inayofuata" "Inasanidi %s" "Washa %s" "Tafadhali angalia \"%s\" katika lugha yako na mipangilio ya kuingiza. Hii itaidhinisha ili iendeshwe kwenye kifaa chako." "%s tayari imewashwa katika mipangilio yako ya Lugha, Kibodi na Sauti, kwa hivyo hatua hii imekamilika. Nenda kwenye hatua inayofuata!" "Washa katika Mipangilio" "Badilisha kwenda %s" "Kisha, chagua \"%s\" kama mbinu yako inayotumika ya kuingiza data ya maandishi." "Badilisha mbinu za kuingiza data" "Hongera, uko tayari!" "Sasa unaweza kuchapa programu zako zote uzipendazo ukitumia %s." "Sanidi lugha za ziada" "Imemaliza" "Onyesha ikoni ya programu" "Onyesha ikoni ya programu kwenye kizinduzi" "Programu ya kamusi" "Programu ya kamusi" "Huduma ya Kamusi" "Maelezo ya kusasisha kamusi" "Kamusi za nyongeza" "Kamusi inapatikana" "Mipangilio ya kamusi" "Kamusi ya mtumiaji" "Kamusi ya mtumiaji" "Kamusi inapatikana" "Inapakua sasa" "Imesakinishwa" "Imesakinishwa, haitumiki" "Tatizo wakati wa kuunganisha kwenye huduma ya kamusi" "Hakuna kamusi inayopatikana" "Onyesha upya" "Ilibadilishwa mwisho" "Inatafuta sasisho..." "Inapakia…" "Kamusi kuu" "Ghairi" "Mipangilio" "Sakinisha" "Ghairi" "Futa" "Lugha iliyochaguliwa kwenye kifaa chako cha mkononi ina kamusi inayopatikana.
Tunapendekezaupakuaji wa kamusi ya %1$s ili kuboresha hali yako ya kuchapa.

Upakuaji unaweza kuchukua dakika moja au mbili kukamilika kwenye mtandao wa 3G. Unaweza kutozwa ada ikiwa huna mpango wa data usio na kipimo .
Ikiwa huna uhakika una mpango gani wa data, tunapendekeza utafute muunganisho wa Wi-Fi ili uanze upakuaji kiotomatiki.

Kidokezo: Unaweza kupakua na kuondoa kamusi kwa kuenda kwenyeLugha na Zana za Kuingiza Datalt;/b> katika menyu ya Mipangilio ya kifaa chako cha mkononi." "Pakua sasa (MB%1$.1f)" "Pakua kwenye Wi-Fi" "Kamusi inapatikana ya %1$s" "Bonyeza ili kukagua na kupakua" "Inapakua: mapendekezo ya %1$s yatakuwa tayari hivi karibuni." "Toleo la %1$s" "Ongeza" "Ongeza kwenye kamusi" "Fungu la maneno" "Hiari zingine" "Hiari chache" "Sawa" "Neno:" "Njia ya mkato:" "Lugha:" "Chapa neno" "Njia ya mkato ya hiari" "Badilisha neno" "Hariri" "Futa" "Huna maneno yoyote katika kamusi ya mtumiaji. Ongeza neno kwa kugusa kitufe cha Ongeza (+)." "Ya lugha zote" "Lugha zingine..." "Futa" " ABCDEFGHIJKLMNOPQRSTUVWXYZ"