diff --git a/java/res/values-sw/strings-emoji-descriptions.xml b/java/res/values-sw/strings-emoji-descriptions.xml index beb63b3d4..040c21582 100644 --- a/java/res/values-sw/strings-emoji-descriptions.xml +++ b/java/res/values-sw/strings-emoji-descriptions.xml @@ -857,7 +857,7 @@ "Emoji ya kengele ikiwa na alama ya mstari wa kukata, aghalabu kwenye matumizi ya simu au kompyuta humaanisha kuzima matumizi ya sauti" "Emoji ya alamisho" "Emoji ya kiungo" - "Emoji ya kitufe cha redio" + "Kitufe cha mviringo" "Emoji yenye neno back na mshale unaoonesha kushoto ukiwa juu yake, aghalabu ikimaanisha rudi nyuma, nenda mwanzo wa wimbo, filamu, hadithi nk" "Emoji yenye neno end na mshale unaoonesha kushoto ukiwa juu yake, ikimaanisha nenda mwisho wa jambo, ingawa yaweza pia kumaanisha rudi nyuma, nenda mwanzo wa wimbo, filamu, hadithi nk kwenye matumizi ya hangout na android" "Emoji ya neno On na mshale unaoonesha pande zote ukiwa juu yake, ikimaanisha uamuzi wa kusonga mbele kwa furaha, au njia zote zitakufikisha kwenye lengo iwe ya kushoto au kulia"